Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

Hapana kwangu inabidi aboreshe sana kiwango chake, ina maana ahoua huyu ni bora kuliko pacome, kwangu ni big NO.

Aziz huyu huyu ambae hana msimu mzuri, ambae alikuwa hivi msimu wake wa kwanza watu wakamkataa, mie niliamini atafanya vizuri na akafanya vizuri msimu uliofata.

Ahoua sio skills, creativity, mikimbio yake, 1st touch etc ambazo anamzidi pacome.
Anaweza kuwa na takwimu nzuri ila bado pacome ni bora mbele ya wa kwetu.
 
Unasema haungalii takwimu yaani numbers si ndio? Kwa bahati mbaya ubora wa ahua hatuwezi kuupima bila hizo takwimu au numbers unajua kwanini? Kwasababu ahuwa anacheza namba 10 katikati anatakiwa adetect temple ya mchezo,acontrol temple ya mchezo na achangie magoli kwa kupiga asist hili ndio jukumu lake la msingi pacome ni namba10 but anacheza pembeni kama winga though sio winga kiasili so hausiki sana kwenye kudetect temple ya mchezo,kucontrol temple ya mchezo au kuchezesha jukumu hilo ni la chama au ki yeye kazi yake ni kufosi mashambulizi sana sana ndio maana hana namba nzuri so ahua hawezi kuwa kama pacome kiuchezaji.
 
 
Kwangu bado ahoua anapaswa ajiongeze pakubwa mnoo, kiwango(uwezo) wake ni wa kawaida.
 
kinachokuvutia kutoka kwa pacome ni yale makeke yake ambayo ahuwa hana. Kasi,kudrible mpira pembeni na ku cut inside,kupunguza mabeki wa2 au wa3 na kupiga v pass si ndio? Kila mchezaji na aina yake ya uchezaji so ahua hawezi kufanya hayo yote but he can make himself a better player in his way.
 
Umekiri hawezi, sawa.

Basi muda utatuambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…