Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Hatimaye tunaenda kushika usukani wa ligi kibingwa zaidi.Mnyama Simba SC baada ya kupata ushindi mechi iliyopita ugenini mkoani Kigoma, anarudi nyumbani ambapo kesho Jumatano atakuwa KMC Complex akiwakaribisha KMC FC
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara.
View attachment 3144771
Haina ubishiNguvu moya 🦁
Kasongo huyu huyu ambaye kampuni yake ya usafi imepewa kusafisha ofisi za GSM?Mwaka huu mshindwe nyie maana kasongo na Caria wanajitahidi sana msichoke mcheze kwa uhuru Sasa shindweni nyie
hi comment ni wewe umetyipu au account yako imekuwa hacked 😄
Naona kama vile ibilisi ameokoka!
Karia hawezi kukubali baya liwakuteLolote baya liwakute Nampalama.