Hawa Merreikh sijui ni katimu cha aina gani, bado sikaelewi, kamepigwa 4 na Vita nyumbani, kakamkomalia Simba 0-0, leo kanamfunga Ahly nyumbani 2-0!80' Simba 3- 1 Vita
Merrick 2-0 Ahl
mkuundugu yangu ... Vipi Hali yako?simba leo anakufa gori 2 bila kama amesimama
Kwa sheria mpya Simba anachagua timu tatu atakazokwendanazo klabu bingwa msimu ujao.Hivi next season myama atawabeba utopolo wangapi vile akifika half final?