Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mgomo wa mechi ngumuKwani ule mgomo wa kugomea match zote za ligi umeisha?
Yanga wameshaadhibiwa,matunguli yao waliyofukia uwanjani yatakuwa yameexpire ndio maana nao wamegomea mechi kabla haijapangiwa tarehe mpya😂😂😂yule tahira wenu Magori alisema hamtacheza mechi yoyote mpk yanga adhibiwe?. Matahira fc a.ka.a watia mpira kwapani.
Simba leo lazima wakalishwe viwili tuNBC Premier League leo Ijumaa
Saa 10:00 jioni, Simba SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Dodoma Jiji.
Hii ni mechi ya kiporo je ni Mnyama Simba ama Walima Zabibu nani kukitafuna kiporo hiki?
NBC Premier League leo Ijumaa

Duh... Aisee...All the Best Dodoma