Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Hizo za kuambiwa. Hii tuliishuhudia live
F-6MCbzW4AAcci9.jpg

Gazeti hata halina rangi,habari zilipendwa hizo. Mtu unaweza zichapisha tu mtandaoni
Kumbe wewe ni mtoto mdogo usiyejua hata historia ya timu yako Utopolo,chapisha na wewe uweke hapa kama unaweza.Kwani hiyo uliyochapisha ni ya mwaka huu?
 
Pole mkuu sio kwa povu hili
Kumbe wewe ni mtoto mdogo usiyejua hata historia ya timu yako Utopolo,chapisha na wewe uweke hapa kama unaweza.Kwani hiyo uliyochapisha ni ya mwaka huu?
 
😄😄😄😄Kiporo mnachokiogopa mpk mnakimbia?🏃🏃🏃🤣🤣🤣
Matumbo yetu hayakuwa mazuri, Kamara na Malone hawakuwa sawa, unalaje kiporo kingi namna ile na unatakiwa kukimaliza😎😎
 
Back
Top Bottom