Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Ni kweli mkuu inaonekana kuna kauchoyo flan hivi,kuna move Mukwala angemuachia ahoua angefunga yeye akapiga nje,hayo mambo huwa yanaigharimu simba,inabidi wajirekebishe
Kabisa mkuu..kua na uchu wakufunga inasaidia ila Ina disadvantage ukikutana na timu ambayo unaitaj nafasi Moja tu kumaliza mchezo na hauna nafasi nyingi
 
Hao ndo mbeleko yenu jumlisha wajumbe wa bodi bila hao mngekua mkiani mwa msimamo wa ligi
Siku mlipocheza nao mliwachagulia kikosi, wachezaji zaidi ya 6 wa kikosi cha kwanza walipumzishwa na magoli ya mkono mlifunga
 

Attachments

  • Screenshot_20250314-202855.png
    Screenshot_20250314-202855.png
    1.2 MB · Views: 1
Katesekee huko na mwiko wako nyuma
Tawi lenu limefungwa 6 unakuja kujichekesha kama ww hukufungwa 6
🤣🤣🤣🤣Tawi letu Leo hawajawakazia?😄mkitoa nao draw oh!... Wanakamia😃mkichapwa vilio kwa refa,😭😭😭😭...mkishinda sasa😄😄😄😄😄😄😄😄nguvu mbili bhana😃
 
Japo walihaidiwa pesa ndefu kutoka kwa rafiki yake na Engineer wa dodoma pia kutoka jangeani mpunga ulikuwa ni mwingi sana! Ila walichokutana nacho hawatasahau!
 
Back
Top Bottom