Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

1738430659798.jpg
 
NBC Premier League leo Ijumaa

Saa 10:00 jioni, Simba SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Dodoma Jiji.

Hii ni mechi ya kiporo je ni Mnyama Simba ama Walima Zabibu nani kukitafuna kiporo hiki?

Vikosi vya timu zote
Mechi imeanza (KickOff)

09' Milango bado haijafunguka pande zote, Simba inatuma mashambulizi ya mara kwa mara langoni mwa Dodoma Jiji
10' Mechi imesimama, Kipa wa Dodoma Jiji Ngeleka anatibiwa
17' Goooal Mpanzu
23' Goooal Ahoua
45+1' Goooal Ahoua

Mapuziko (Half Time)

Simba SC 3-Dodoma Jiji
Kipindi cha pili kimeanza

Simba SC 3-Dodoma Jiji

46’ Gooal Mukwala
54' Goooal Kibu D
Simba inatisha, na hapo wengi wwa wachezaji wake wako kwenye mfungo wa Ramadhani
 
Mpira umeisha.. ingekua 7 ila mpanzu chance ya mwisho alitaka kufunga yeye na wakati alikua na nafasi nzuri ya kumpasia ahoua ama kibu...hii inaonesha Kuna uchu mkali wa kufunga ndani ya Simba ...

6-0
Ni kweli mkuu inaonekana kuna kauchoyo flan hivi,kuna move Mukwala angemuachia ahoua angefunga yeye akapiga nje,hayo mambo huwa yanaigharimu simba,inabidi wajirekebishe
 
Ateba anastahili maombi ya tuisheni, dakika za mwisho anakosa goli la wazi
 
Nguvu mbili leo wanasema haya magoli yaliwahusu yanga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mnafurahisha😄kwani inakuaje vya moto mnakimbia ila viporo mnashobo navyo?😃
 
Nguvu mbili leo wanasema haya magoli yaliwahusu yanga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mnafurahisha😄kwani inakuaje vya moto mnakimbia ila viporo mnashobo navyo?😃
Kama timu yako haijawahi kufungwa 6-0 na Simba nyoosha mkono
 
Back
Top Bottom