Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Niliwahi kuandika humu,Simba tusiwe tunawakatia tamaa na kuwakatisha tamaa wachezaji wetu on Leo Kibu D kafunga mbili na Mukwala kaendelea kufunga
Kuna mtu humu Hadi aliandika makala ya wachezaji wa kuachwa Simba mmojawapo ni Mukwala.
Lkn Leo Mukwala kawa tumaini letu.
 
Mimi ni shabiki wa simba! Ila sina imani na hii timu ya Dodoma Jiji. Huenda imepewa bahasha ili tushinde goli nyingi na hivyo kuondoa ile aibu ya kususia mechi na watani wetu Yanga.
Acha kutuongopea. Wewe ni Utopolo original kabisa. Rejea post yako No. 11 hapo juu.
 
Back
Top Bottom