Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Naskia Dodoma waliahidiwa kila mchezaji milioni 5 na yule kada wa yanga Waziri mbunge wa dodoma..
Wachezaji wakaambizana Sasa Hawa sababu wameahidiwa milioni 5 , tuwapige hizo hizo 5..
 
Mpaka sasa 5-0 simba wakiongoza.

Waongeze nyingine mbili juzi ni zile za yanga walizostahili kupigwa.
 
Kombe la kina mama aliitwi kimataifa.
Kule Kombe la Kina Mama tulibutua timu zote, hakuna timu tuli iacha.
Na sisi hatujivunii hatua tuliyoifikia kwenye kombe lile.
Mmeanza lini kutojivunia!? Leo au!?
 
Mimi ni shabiki wa simba! Ila sina imani na hii timu ya Dodoma Jiji. Huenda imepewa bahasha ili tushinde goli nyingi na hivyo kuondoa ile aibu ya kususia mechi na watani wetu Yanga.

Kweli upuuzi watu wanaambukizwa,ukikaa na wanjinga
 
Kombe la kina mama aliitwi kimataifa.
Kule Kombe la Kina Mama tulibutua timu zote, hakuna timu tuli iacha.
Na sisi hatujivunii hatua tuliyoifikia kwenye kombe lile.
Sizitaki mbichi hizi.
Haya huko kwa kina baba, sisi tulikua tunavuka hatua ambayo nyie mnafurushwa kila wakati.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni shabiki wa simba! Ila sina imani na hii timu ya Dodoma Jiji. Huenda imepewa bahasha ili tushinde goli nyingi na hivyo kuondoa ile aibu ya kususia mechi na watani wetu Yanga.
Kunywa maji mengi na upumzike, yakizidi sana muone Daktariiii.
Poleee sana.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom