900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
ahouaGoli l 3 kafunga nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahouaGoli l 3 kafunga nani?
Walinusa wakaona ngoja wavunje tu kanuni waepuke kipigoHiki kipigo kilikua kiwakute utopolo
Hauoni hata aibu kusema mlizibutua timu zote yani wale kina Rivers na Marumo waliokuwa wanashuka Daraja ndio mnajisifia, na hapo mna kikosi mnachoita bora mna striker kama Mayele ila bado mkashindwa kubeba lile kombe, mngekutana na wenye kombe lao kina Zamalek na Berkane hata nusu fainali msingegusaKombe la kina mama aliitwi kimataifa.
Kule Kombe la Kina Mama tulibutua timu zote, hakuna timu tuli iacha.
Na sisi hatujivunii hatua tuliyoifikia kwenye kombe lile.
Akashangilia goli tano alizofungwa na Yanga😁Mtieni adabu huyo Mexime.! Alichonga Sana mechi ya Kwanza.!