Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Na kimataifa tuko kwa kazi ya refa na bodi ya mashindano au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kombe la kina mama aliitwi kimataifa.
Kule Kombe la Kina Mama tulibutua timu zote, hakuna timu tuli iacha.
Na sisi hatujivunii hatua tuliyoifikia kwenye kombe lile.
 
Safu ya ulinzi ya Dodoma jiji ipo uchi mno
 
Hawa washirikina kama walikua wanaamini ushirikina wao utafanya kazi basi wangeruhusu timu ya Simba iingie uwanjani. Ndivyo ambavyo uanaume ulivyo, wewe unaamini uchawi wako utafanya kazi hata timu ikiingia kufanya mazoezi, basi wangeachwa wafanye mazoezi halafu mwisho wa siku tungeona nani uchawi wake umeleta faida. Kuwazuia Ina mana walijua uchawi unaenda kutenguliwa na kisomo Cha Quran
 
Tabora United waliahidiwa kwa Yanga na wakashinda kweli
Tabora tangu ianzishwe ndio imepata matokeo msimu huu ni kama Simba tu ilisha wahi kutokea akapata matokeo kwa Yanga.
Yanga ndio kiboko wa timu zote apa Tanzania, Ni kama Madrid na Uefa Champion league.
 
Ndio uwezo yaani ndio quality iliyopo, Bado mnajenga timu.
Ata nafasi mliyopo nikazi kubwa ya marefa na bodi ya ligi.
Dodoma jiji ilipocheza na Utopolo ilishinda ngapi?tena wachezaji 6 wa kikosi cha kwanza walipumzishwa bila sababu kama ile ya Singida tu
 
WACHEZAJI WA SIMBA AMBAO WAMEFUNGA MAGOLI NBC PL
Kapombe ✅
Zimbwe✅
Che Malone✅
Ngoma✅
Ahoua✅
Ateba✅
Mukwala✅
Awesu✅
Balua✅
Mavambo✅
Mashaka✅
Chasambi✅
Mpanzu✅
 
Back
Top Bottom