Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Ukitaka kuzizuia Simba na Yanga ni mwendo wa kimya bila mbwembwe na maneno mengi, timu ikishaadiwa ela tu tayari wanapoteza concentration ya mchezo.
 
Mbona Simba uwa wana ahidiwa fedha ndefu na wanatandikwa kila wakikutana.
Sasa kwa Simba hii ata uhaidi bilion moja kwa kila mchezaji itafungwa na Yanga.
Quality ya Simba ipo chini dhidi ya Yanga ya sasa.
 
Hii timu yangu ikishaongoza tu, kiu ya kutafuta magoli mengine inapungua... Mechi kama hii kama unapata nafasi unapaswa kuzitumia kwa usahihi. Yanga wametuzidi magoli mengi sana, tunapaswa kupunguza gape la magoli kadiri inavyowezekana.
 
Mbona Simba uwa wana ahidiwa fedha ndefu na wanatandikwa kila wakikutana.
Sasa kwa Simba hii ata uhaidi bilion moja kwa kila mchezaji itafungwa na Yanga.
Quality ya Simba ipo chini dhidi ya Yanga ya sasa.
Tabora United waliahidiwa kwa Yanga na wakashinda kweli
 
Mbona Simba uwa wana ahidiwa fedha ndefu na wanatandikwa kila wakikutana.
Sasa kwa Simba hii ata uhaidi bilion moja kwa kila mchezaji itafungwa na Yanga.
Quality ya Simba ipo chini dhidi ya Yanga ya sasa.
Ilikuwaje mkatuzuia kufanya mazoezi kama mnatumudu?
 
Back
Top Bottom