Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kwa hiyo hapa wanjinga ni watu gani? Mimi nimeongea ukweli. Hakuna unjinga wowote ule.Kweli upuuzi watu wanaambukizwa,ukikaa na wanjinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hapa wanjinga ni watu gani? Mimi nimeongea ukweli. Hakuna unjinga wowote ule.Kweli upuuzi watu wanaambukizwa,ukikaa na wanjinga
Kweli. Hata ukivaa nguo zenye rangi wanazovaa wajingaKweli upuuzi watu wanaambukizwa,ukikaa na wanjinga
Ni kweli, wamepewa bahasha na mbunge wa DodomaMimi ni shabiki wa simba! Ila sina imani na hii timu ya Dodoma Jiji. Huenda imepewa bahasha ili tushinde goli nyingi na hivyo kuondoa ile aibu ya kususia mechi na watani wetu Yanga.
Wanajifanya hitlafu kumbe wanapitisha matangazo yaoAzam wanaleta vipengele
Hata fawaNews imekataAzam tv Wana wivu
Tuwavumilie wadhamini wetu wanaotupeleka dunianiWanajifanya hitlafu kumbe wanapitisha matangazo yao
Watu weuweeeeeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pakti ya pili kwishaaa!
Ni hujuma za wazi za azamGoli la Kibu limeharibu mitambo ya Azam
Hao nao wanachukua matangazo huko AzamtvHata fawaNews imekata
Mbona Fawa news inaniomba VPN nyie mnafanyajeHata fawaNews imekata
UwezoBora tu matangazo yakate hivyohivyo, haiwezekani litimu la ligi kuu linakubali kupigwa goli sita kama wamesimama vile