FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

Mkuu acha kumlaumu Manuka mkuu, Manuka kaokoa michomo mingapi kwenye hii mechi? Yani makosa ifanye team alafu lawama ziende kwa Manula?

Tuseme ukweli, Simba Sc tumecheza utumbo leo, sijui itakuwaje tu mitandaoni hii aibu.
Ni kweli bora umesema kweli utumbo kabisa wa kupikia ndizi
 
Hapana timu bado nzuri kabisa Kwasababu ukiangalia makosa mengi yamefanywa na wachezaji wa zamani. Pamoja na makosa ya kocha na wachezaji kujisahau mabeki wote wanne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…