ummumuhammad
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 796
- 697
Leo hakuna kuchekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga. Aliyekuambia mimi uto nan?Utopolo mkalale mapema kwa kweli
mechi ya kirafiki wakongo wanacheza kama fainaliHuu mpira unaopigwa na mazembe mnaona kweli
YangaNani kafungwa huko?
Sawa lakini hesabu isiyoeleweka kumuingiza kagere kwenye mchezo wenye kasi kama huu ukizingatia si mchezaji mpya labda anahitaji kumjuaKocha anasoma tumpe muda
Yeah, maana wote wametolewa mashindanoniLeo hakuna kuchekana
Hii mijamaa imewekwa mwiko nyuma kama kawaida yao...
tena bila kilainishi kudadekiTayari mwali katolewa bikra
Mkuu acha kumlaumu Manuka mkuu, Manuka kaokoa michomo mingapi kwenye hii mechi? Yani makosa ifanye team alafu lawama ziende kwa Manula?Manula huyu anashida.
Vip wanasemaje uko nigeria?Hii Simba kwisha kazi, waliwekeza kwenye kupiga umbea sasa madhara yake ndiyo haya.
Mtani hasira zako za kupigwa huko Nigeria usituletee huku
Ni kweli bora umesema kweli utumbo kabisa wa kupikia ndiziMkuu acha kumlaumu Manuka mkuu, Manuka kaokoa michomo mingapi kwenye hii mechi? Yani makosa ifanye team alafu lawama ziende kwa Manula?
Tuseme ukweli, Simba Sc tumecheza utumbo leo, sijui itakuwaje tu mitandaoni hii aibu.
Hapana timu bado nzuri kabisa Kwasababu ukiangalia makosa mengi yamefanywa na wachezaji wa zamani. Pamoja na makosa ya kocha na wachezaji kujisahau mabeki wote wanne.Me nililiona tangu mwanzo, mpira tunacheza sio uke wa misimu miwili ya nyuma.Tumeanza kwa kuunajisi uwanja wa Mkapa katika mechi za kimataifa.
Hii Simba Sc siioni ikifika mbali kabisa, inatakiwa mabadiliko ya haja kwenye hiki kikosi.
Nadhani makosa ya kuuza Chama na Miquisone kwa mkupuo sasa yanaonekana, team imekosea waanzisha mashambulizi imebakia kubutuabutua tu.
Hapa hakuna cha kusema tumefungwa kwa bahati, Tp Mazembe wametuchezea mpira kwelikweli.
Nyie mmewekwa mbele?Hii mijamaa imewekwa mwiko nyuma kama kawaida yao...
Kalale, kuanzia asubuhi ulikuwa unapiga umbea huku kama vile mna timu.