FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

mbwa fc wanang'ang'ani kuwa wanaenda kupindua meza hivi wanadhani NIGERIA kuna watoza ushuru wa kisadukayo.
Meza za Nigeria ni zile zimejengewa na cements, kama tulizokua tunasomea nje vyuoni.
 
Kwahali inavyoendelea haujai labda wakabebe machinga Karume
 
Kwa hali ilivyo mpaka sasa wafanyabiashara ndogondogo nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa ni wengi kuliko mashabiki wa Simba.
 
Leo ntakuwa bize hapa uwanjani hivyo naamini utatuwakilisha vyema hapa jukwaani
 
Huyo anafaa sana kwenye hamasa labda, ila afisa habari hafai, labda kama atabadilika akipewa hiyo nafasi, asiwe na mfululizo wa vijembe kuliko kuwasilisha content kwenye pres zake na waandishi.
 
Wadau kwani mechi itakua saa ngapi?
Mechii! Bonanza? Limeshaanza tayari. Wahi uwanjani au washa tv uwaangalie mbumbumbu wenzako wanavyo ruka ruka na kukanyagana.

Mechi iko jioni kati ya Wananchi wa Tanzania dhidi ya Boko Haram wa Nigeria.
 
Mechii! Bonanza? Limeshaanza tayari. Wahi uwanjani au washa tv uwaangalie mbumbumbu wenzako wanavyo ruka ruka na kukanyagana.
Tehe, tehe, haaaa, una mabango wewe Utopolo.
Mbona leo wanyonge sana mitaani nyinyi Uto! Mnaumwa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…