FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

Mechii! Bonanza? Limeshaanza tayari. Wahi uwanjani au washa tv uwaangalie mbumbumbu wenzako wanavyo ruka ruka na kukanyagana.

Mechi iko jioni kati ya Wananchi wa Tanzania dhidi ya Boko Haram wa Nigeria.
Napenda hiyo spirit

Cha msingi usipotee humu baadae jioni kabisa
 
Leo ni siku ya furaha sana kwa wanasimba. Kwanza kabisa kilele cha utambulisho kwa usajiri mpya tuliofanya wanamsimbazi, siku ya kutudhihirishia kuwa scouting team yetu haikufanya makosa
Pili wanamsimbazi wakiwa jukwaani na kuona yanga wakiaga CAF kabla ya ligi nchini kuanza.
NI MNYAMAAAA.... Akiunguruma ndani ya uwanja wa Benjamini Mkapa leo
 
Huyo anafaa sana kwenye hamasa labda,ila hafisa habari hafai, labda kama atabadilika akipewa iyo nafasi,asiwe na mfululizo wa vijembe kuliko kuwasilisha content kwenye pres zake na waandishi.
Naona amebadilika sana siku za hivi karibuni, anaongea kwa mpangilio na anasomeka
 
Yaani wangese wamejaribu kuhujumu lakini wapi, tumejaza kwa Mkapa by saa 6, sasa tunaanza kujaza shamba la bibi
 
Yaani wangese wamejaribu kuhujumu lakini wapi, tumejaza kwa Mkapa by saa 6, sasa tunaanza kujaza shamba la bibi
Ebu tupieni picha za updates wengine tulichukulia poa tukajua tukija uwanjani tutapata nafasi lakini mwisho wa siku tumekosa
 
Huyo anafaa sana kwenye hamasa labda,ila hafisa habari hafai, labda kama atabadilika akipewa iyo nafasi,asiwe na mfululizo wa vijembe kuliko kuwasilisha content kwenye pres zake na waandishi.
Basi Juma Lokole.
 
Kama uwekezaji wote uliofanywa na MO na bado mashabiki wamegoma Ku ujaza uwanja hii ni hatari sana, bora wangetumia shamba la bibi.
 
Mbumbumbu fc kweli wanavituko Leo Okwi kawa surprise. Nchi hii ina vituko kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…