FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

Mbona una gubu kama mke mwenza......

Kaa kwa kutulia, siku ya zamu yako ya kumuhudumia mumeo haijafika.....
Ukiwa shabiki wa Yanga ukakumbuka Simba haina Chama na Luis Jose unakaa kimya tu huku ukijisemea muda utaongea huko mbele😀😀😀😀
 
Sawa wazee wa picha za maktaba
Na washauri tu wekeni picha halisi za uwanja Coz Mm niko uwanjani na hali halisi naiona na magap ni makubwa sana
Sasa chief, kama upo uwanjani na unaona ma-gap kwa nini usiweke hizo picha za Uwanjani? Mbona ni kitu rahisi rahisi tu!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kuna viti vya Orange huku kwenye mzunguko kuna nafasi nyingi sana kama kuna mtu hajapata pata pa kukaa aje huku kwenye viti vya orange
 
Kuna viti vya Orange huku kwenye mzunguko kuna nafasi nyingi sana kama kuna mtu hajapata pata pa kukaa aje huku kwenye viti vya orange
Nipo huku kwenye viti vya orange nimevaa jezi nyekundu mgongoni imeandikwa waterloo acha uwongo hakuna nafasi tumebanana sana.
 
Narudia tena, kwenye mzunguko wa viti vya Orange kuna nafasi za kutosha, kwann ukae kwa kubanana wakati huku kuna nafasi za kutosha
 
Tangu Mgosi aache kuwa Kocha wa Simba Queens imekuwa nyanya, haina makali.

Kuna umuhimu atafutwe kocha mwingine. Vinginevyo ubingwa tutaupoteza
 
Huyo mpokinajifunze maneno ya kuongea hadharani yanayoharibu sovereignty ya nchi hayapaswi kuwa sehemu ya utani. Kauli ya wimbo wa kongo watu wanakata viuno na wa Tanzania wanasimama ni kauli ya kifedhuli
 
Back
Top Bottom