FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

Inamaana Simba imekosa mtu wa mpira wa kutambulisha wachezaji?si wangemkodi hata Dauda
 
[emoji3][emoji3]
Tupo tunawachangamshia thread yenu coz mleta uzi hata kuwaletea watu wake updates hawezi
Mleta Uzi anaandaa Uzi mpya wa wanautopolo[emoji16][emoji16]

Maana nyie wavivu Hadi muandaliwe kila kitu..Huu katuachia Sisi tunauendeleza
 
Leo ni kilele cha ile siku pendwa ya Simba day ambapo inafanyika kwa mara ya 13 mfululizo.
Tupo hapa kukuletea matukio yote muhimu toka Benjamin Mkapa national stadium.
Ungana nasi wanasimba wa Jf kusherekea pamoja nami nawaleta OKW BOBAN SUNZU Mightier FORTALEZA
Na wengine wataungana baadae kidogo

Shughuli zilizopo
Burudani ya muziki
Mechi za utangulizi toka Simba queen na Simba u20

Utambulisho wa wachezaji

Simba vs Tp englaB mazembe

Ungana nas


Matokeo utangulizi
Simba U20 1-0 fonten gates
Simba queen 0-0
Faru 0-0 Tembo


Updates

Burudani ya mpoki ni hatari,anatafsiri kifaransa hadi Raha
Wimbo wa taifa unaimbwa kwa vifaa maalumu
Hii ni live kweli ama tunabangaiza tu.
 
Back
Top Bottom