FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

Nilitarajia angeingizwa Muzamiru au Mkude nafasi ya Bwalya badala ya Kagere. Kocha kachemka hapa
 
Hili benchi la ufundi liliharibu kuna sehemu. Huwezi kutoa Bwalya na kumuingiza Kagere
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Simba na TP Mazembe kimpira, TP Mzembe wanacheza kwa kutafuta nafasi ili wakontroo mchezo vizuri wakati Simba wakiwa na mpira hawafanyi hivyo ndo maana imewawia vigumu kutawala mchezo, tofauti ni hapo tu
 
Me nililiona tangu mwanzo, mpira tunacheza sio uke wa misimu miwili ya nyuma.Tumeanza kwa kuunajisi uwanja wa Mkapa katika mechi za kimataifa.

Hii Simba Sc siioni ikifika mbali kabisa, inatakiwa mabadiliko ya haja kwenye hiki kikosi.

Nadhani makosa ya kuuza Chama na Miquisone kwa mkupuo sasa yanaonekana, team imekosea waanzisha mashambulizi imebakia kubutuabutua tu.

Hapa hakuna cha kusema tumefungwa kwa bahati, Tp Mazembe wametuchezea mpira kwelikweli.
 
Back
Top Bottom