bado refa ajapokea muamalaNgapi huko?
sio hii tu mechi nyingi za simba ndio ziko hiviHii mechi ina makosa mengi sana ya waamuzi
Kolozdad lazima waumie leoBila bila
Tusubiri penatibado refa ajapokea muamala
Mkuu kitu kinachokupa faida jifunze kukitunza. Ni ushauri tuMkuu link naipataje ya kucheki game
Kuna link ya game kama 2 zilizopita ilikuw unyama sana
jamaa alikuwa ana minya beki walisha poteaRupia dahπππ
Naangalia uchezaji wao hasa safu yao ya ulinzi wanafungwa hawa Singida tena za kutoshalabda wakikutana na yanga ndio wepesi ila kwa hawa simba labda refa atie wepesi wake
labda na yanga sio simba wala azamNaangalia uchezaji wao hasa safu yao ya ulinzi wanafungwa hawa Singida tena za kutosha
Kalipwa huyu ππππHuyu dada kibendera muongo
mahaba mkuu hakuna offside hapoHuyu dada kibendera muongo