Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
Refa anaanza aharibu mpiraWamewanyima watoto kona😃😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa anaanza aharibu mpiraWamewanyima watoto kona😃😀😀
Hii gemu ina red card, kwa singida lakini pia refa kapotea kabisa
Kwamba hata akikosea Linesman lawama tumpe Lawi!?Lawi...yeye ndio centre refereee
Anazingua sana yaani sanaRefa anaanza aharibu mpira
Tunaposema Rage ajengewe mnara wa kumbukumbu, wanatakiwa watuelewe.Watu wanalalamika kuhusu singida ila wanasahau Fatma dewj ni mjumbe na kiongozi mkubwa pale singida 😂
Mkuu link naipataje ya kucheki gameIbrahim Imoro anaweza akala red
Sasa yeye lawi sii kaona kuwa ni kona ana haki ya kuover rule linesmanKwamba hata akikosea Linesman lawama tumpe Lawi!?
Umekuja JF na matokeo yako mfukoni siyo!? Tafuta chaka la kumwagia chozi kabisa.Anazingua sana yaani sana
Tukumbushe; Mmiliki ni nani vile!?Watu wanalalamika kuhusu singida ila wanasahau Fatma dewj ni mjumbe na kiongozi mkubwa pale singida [emoji23]
Unanipangia wewe kama nani?Umekuja JF na matokeo yako mfukoni siyo!? Tafuta chaka la kumwagia chozi kabisa.
Kabisa mkuuTunaposema Rage ajengewe mnara wa kumbukumbu, wanatakiwa watuelewe.
Mkuu link naipataje ya kucheki game
Kuna link ya game kama 2 zilizopita ilikuw unyama sana
labda wakikutana na yanga ndio wepesi ila kwa hawa simba labda refa atie wepesi wakeHawa Singida hawana lolote, ni wepesi tofauti na watu walivyowachukulia
Bila bilaNgapi huko?