FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

Utashangaa mechi inayochezwa leo ni kati ya Simba na Singida Big Stars lakini utawaona mashabiki wa Yanga wanakuja hapa kutunisha vichwa na makalio na kuleta ubishi usiokuwa na kichwa wala miguu. Haya majitu ya Yanga hayako vizuri vichwani mwao!
Uto ndo walivyo.
 
Nina wasiwasi sana na hii game, ni mechi ambayo ushindi ni lazima ila bado sioni tunaupataje.
 
kina nani? siwajui wengine
Hawa hapa
Screenshot_20241228-161050.jpg
 
Back
Top Bottom