FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

Hatikae leo mnyama yupo ugegeni, je ataonyesha makucha yake or atapoteza.

Match itakuwa live saa kumi jioni
 

Attachments

  • Screenshot_20241228_134101_FotMob.jpg
    Screenshot_20241228_134101_FotMob.jpg
    45.2 KB · Views: 3
"SIMBA BINGWA"

TUKIIFUNGA SINGIDA BLACK STARS TUMEIFUNGA YANGA,CCM NA WACHAMBUZI WOTE WA MCHONGO TANZANIA.
Na tukifungwa tu; lawama zote tunawabebesha makocha wetu Matola na Fadlu, wachezaji wetu Kapombe na Kibu D, na pia Mwenyekiti wetu Mangungu.
 
Singida chama langu toka utotoni naomba fanya kweli bhana. Kuna mtu anataka kuanza kujisahau pale juu anataka apafanye nyumbani kwake na wakati amepangishwa tu.

Come On Singida BS
 

Attachments

  • IMG-20241228-WA0000.jpg
    IMG-20241228-WA0000.jpg
    141.1 KB · Views: 2
Leo mnalambwa, leo simba lazima mlie kwa welelo na ndio leo mnaenda kuonja chungu ya tungu leo lazima kilio kisikike na mtafungwa kishamba sana!
 
Wazee wa gusa anguka tupate penalti lolote baya liwe kwenu
 
Back
Top Bottom