Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Wazee wa penalty leo mnazo ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh huyu ni wewe ?
Na hiyo ndio mentality ya kibingwaNinaomba simba ifungwe au watoke droo kusudi watelemshe point ili Yanga wawe juu. Lakini simba ni wabishi sana, watafanya kila mbinu waifunge Singida hata bao moja la penalty ya mwishoni sana
Umeanza lini uganga wa kienyeji?Kikombe alichonywea kagera naona Singida mkikinywea.
Ubaya ubwela 🦁
weee mbaba mbona unanifuatilia Sana🤣🤣🤣Mmmh huyu ni wewe ?
Ninatunza sana risiti zako olewako uhame jukwaaa"SIMBA BINGWA"
TUKIIFUNGA SINGIDA BLACK STARS TUMEIFUNGA YANGA,CCM NA WACHAMBUZI WOTE WA MCHONGO TANZANIA.
Hakuna kitu kama hicho.. Simba haina wachezaji wazee so hakuna atakayewatengua visigino.Majeruhi watapatikana wa kutosha, hawa black stars wali mtarget boka wakafanikisha leo zamu ya mpanzu, kibu na ateba kutenguliwa kisigino
Leo Singida wameahidiwa milioni 50 kama wakishinda, mechi dhidi ya utopolo ilitoka ahadi yoyote? kwa nini hawakuahidiwa?Acha kulia lia chezeni mpira kwani yanga anahusika na nini!