FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

Kwa hili likikosi la Simba ni mwendo wa ushindi tu... Ni mwendo wa kumla tu muhindi
 
Mtanange mkali Leo.

Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC
Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida
Vs
Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam

Uwanja: CCM Liti Singida.

Muda : Saa 10Jioni.
View attachment 3186944

Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu.

VIKOSI VYA LEO.
View attachment 3187030
View attachment 3187032


Updates...

00' Mpira umeanza sasa Simba wameelekeza mpira kwa Singida, wanacheza faulo, inapigwa inaokoloewa
Utashangaa mechi inayochezwa leo ni kati ya Simba na Singida Big Stars lakini utawaona mashabiki wa Yanga wanakuja hapa kutunisha vichwa na makalio na kuleta ubishi usiokuwa na kichwa wala miguu. Haya majitu ya Yanga hayako vizuri vichwani mwao!
 
Back
Top Bottom