Umeona ee...siku tukiachana na hizo timu tutafika mbali.Wabongo hawapendi mpira, wanapenda Simba na Yanga.
Tumedharauliwa you know what i mean[emoji2]Maseko, Mokoena, Mudau, hawa walikuwepo ndani?
Maana sijatazama hii match.
Hao wamechoka, sasa ivi kuna damu changa, zinakimbiza sana.Maseko, Mokoena, Mudau, hawa walikuwepo ndani?
Maana sijatazama hii match.
Wee usinambie?!Hao wamechoka, sasa ivi kuna damu changa, zinakimbiza sana.
Hao wanabaki kwenye level ya club.Wee usinambie?!
Bas sawaaHao wanabaki kwenye level ya club.
hata Samata, Miroshi, Mzinze, Kapombe na Mudathir sijawaona!Maseko, Mokoena, Mudau, hawa walikuwepo ndani?
Maana sijatazama hii match.
Aaah bas sawaahata Samata, Miroshi, Mzinze, Kapombe na Mudathir sijawaona!