Wajitahidi kufanya ivo maana sisi wabongo tunapendaga ushororo hadi kwenye vitu vya bureWatanzania waliopo uwanjani wameamua kushangilia kwa sauti ili kuchagiza wachezaji wajitume
Msuvaaaaaaaaaaaaaaaa kapiga mnaziTimu isipofuzu chawa wasisahau kumshukuru mama.
PaparaMsuva Ananini leo
Pongezi hizi za ushindi wa Taifa Stars 1-0 dhidi ya Guinea ni maalumu kwa Rais Dkt.Msuva againa anapaisha
Ngoja tuone leo nna hamu ya kucheka sanaPapara
Pongezi hizi za ushindi wa Taifa Stars 1-0 dhidi ya Guinea ni maalumu kwa Rais Dkt.Ile krosi ya Kibu tutaijutia...yani Yule Msuva yupo na goli...uwii