Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jezi za Tanzania ni nzuri mno.Ombi langu moja tu kwa viongozi wa TFF najuwa hili sio kwa umuhimu sana sababu tunasheherekea ushindi, lakini jezi zetu ni mbaya sana hizi za blue na hasa zile za ufito wa yellow na black design mbaya sana. Hata kama tunafuata bendera lakini blue kwenye bendera sio hii ni light blue lakini tunaile tunasema Gold(kama yellow) kwanini tusichukue ile rangi ya Gold na kutengeneza kitu matata iwe ni identity ya team yetu. Blue colour ni mbaya, yellow na black ya ufito ndio kabisa. Sijui kwanini wakivaa jezi ile inaondoa parsonality ya team hivi inafifisha team sana. Jezi pia ni factor ya kuheshimiwa. Haya maoni yangu binafsi, jezi zote mbayaaaaaa
Naheshimu maoni yako ila zote jezi za team ya Taifa hazivutii hazina mvuto ni mbaya haya ni maoni yangu.Jezi za Tanzania ni nzuri mno.
Hiyo jana ni home kit, tukiwa ugenini tunavaa blue na yellow kama Sweden.
Tunaambiwa ile sio yellow ni makosa ni GoldJezi za Tanzania ni nzuri mno.
Hiyo jana ni home kit, tukiwa ugenini tunavaa blue na yellow kama Sweden.