Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

Huyu kocha ndiye aliyeleta ugumu mpk leo wa sisi kufuzu unamuacha msuva kisa eti hana timu mechi na Ethiopia ya kwanza angekuwepo tungeshinda
 
Wazee tukiingia kufatilia mambo yanatokea
Ona sasa kuja kukaa kidogo tuh tumepata goli
 
ni furaha kwa kweli kupitia huyu mama ni kama miujiza imezidi kumiminika nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…