Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #381
Mshaanza,ngoja lirudiPongezi hizi za ushindi wa Taifa Stars 2-0 dhidi ya Guinea ni maalumu kwa Rais Dkt.
Hahahhaha !!! Unyamer sanaUshakuwa lijinga sana mkkuu🤣
Tutalizwa dakika za jioni.Kuna uzembe wa rejarereja Stars wanaufanya, tunaweza kulizwa muda wowote
Oya oya siku nikikukamata tusilaumiane nitakufunika kwenye kifusi kabisaNimemsamehe Msuva zile nafasi 2 za wazi alizokosa
Mungu baba saidiaMungu fanya wepesi turudishe hilo goli.
Watasawazisha na watafuzu wao kwa ujinga wa sisi kurudi nyuma wakati muda bado uko mwingi.Taifa Stars wamerudi wote nyuma wataalam ndio mnaita “Low Block” huku uswahilini tunasema kupaki basi