Full Time: Tanzania 3 - 2 Cameroon | Futsal WAFCON 2025 - Morocco | Semi Final

Full Time: Tanzania 3 - 2 Cameroon | Futsal WAFCON 2025 - Morocco | Semi Final

Eh Ndo mchezo wa nn huo
Nilijaribu kdg kueleza juzi hapa:

 
Twiga stars mashabiki uwanjani ndio hamna kabisa
 
Dakika 20 za 2nd half ndio zinaanza kama ifuatavyo
 
Ikumbukwe haya mashindano yataweza kutupeleka katika FUTSAL World Cup mambo yakienda vizuri kwahiyo tuiombee hii team
 
Forward wazuri sema wana kipa mzuri pia
 
Zimepita dakika 4 toka 2nd half ianze
 
Kidogo sana sana saaaaaaana tuwapige
 
Sema Abasi golikipa uyu dada aisee
 
Mnunka kaumia sana sidhani kama ataendelea kucheza
 
Kuna dada wa cameroon forward wao ana breach aisee ni fire
 
free kick kuelekea kwao ila imekataa
 
opps wametukosa kosa hapa uyu mwenye breach aisee
 
Back
Top Bottom