Full Time: Tanzania 3 - 2 Cameroon | Futsal WAFCON 2025 - Morocco | Semi Final

Full Time: Tanzania 3 - 2 Cameroon | Futsal WAFCON 2025 - Morocco | Semi Final

Violeth kaweka goal dakika ya 32
 
Timeout muda wa kunywa maji
 
Twiga stars wana kocha mstaarabu sana anaongea kiurafiki na anajua kuwasilisha ujumbe kwa wachezaji ila uyu jamaa wa Cameroon dah ovya MMA
 
Katunzi Jr kala kadi ya njano..
 
Katunzi Jr kaenda Sub kaingia Chenge
 
Free Kick pabaya kidogo kuja kwetu
 
GOAL dah wameforce wamerudisha
 
Kipa ameumia mikono huu mchezo makipa hawavai gloves kwahiyo kidogo naona kaumia
 
Zimebaki dakika 7 mpira uishe kipindi cha pili
 
Jesus tumekula umeme, red card
 
Zawadi kala redcard tuko 1 player down
 
Aisee gepu la mtu mmoja kwenye uwanja mdogo kama huu na zimebaki dakika 6 kuchooa ngumu sana
 
Cameroon wana red card 1 sisi tuna 1 kwahiyo wote tuna wachezaji wanne ndani
 
I think tuwekeze kwenye kulinda kwanza twende penalty tu
 
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOALLLLL
 
MNUNKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Back
Top Bottom