Full Time Tanzania Prisons 0 - 1 Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024

Full Time Tanzania Prisons 0 - 1 Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Baada ya kutoka kuchapika dhidi ya mtani wake leo Simba SC anakibarua kizito mbele ya wanajelajela Tanzania Prisons

Tanzania Prisons VS Simba SC |
NBC Premierleague |
Sokoine Mbeya |
Oktoba 22, 2024
4:00 PM
Snapinsta.app_464050675_18447955849071034_1121041092036527976_n_1080.jpg


Dakika, 5 Simba wanapata goli la kuongoza

Dakika,13 Simba wamekuwa na umiliki mzuri wa mpira

Dakika, 17 Prisons wamefanya jaribu zuri lakini wanakosa goli

Dakika 24 mchezo umkewa wa kasi kwa timu zote mbili.

Dakika, 25 Ngoma anakosa goli la wazi.

Dakika, 27 Haji Mussa anapata kadi ya Njano.

Dakika, 31 Kibu anafanya shambulizi kali sana

Dakika, 40 Zibwe anakosa goli katika nafasi nzuri sana.

Dakika mbili zimeongezwa kukamilisha dakika 45 za kipindi cha kwanza

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimetamatika kutoka uwanja wa Sokoine Mbeya. Simba 1- 0 Tanzania Prisons

Dakika 45 za kipindi cha pili zimeanza

Dakika, 52 Simba wanatengeneza nafasi lakini wanashindwa kufunga goli.

Dakika, 54 Ateba anakosa utulivu wa kufunga goli la pili timu yake.

Dakika,57 Ateba anakosa goli baada ya save nzuri ya Musa Mbisa

Dakika, 62 Balua anachua nafasi ya Mohamed Hussen Lakini Aweso naye anatoka nafasi yake inachukuliwa na Mutale.

Dakika 67 Prisons wanafanya mabadiliko ya wachezaji watatu.

Dakika 72 Ateba anatoka nafasi yake inachukuliwa na Steven Mukwala.

Dakika, 73 Isimaly anapata kadi ya njano.

Dakika, 74 Dotto Shabani naye anapata kadi ya njano kwa upande wa Prisons.

Dakika 76 Mussa Mbisa anafanya Save nzuri sana baada ya kichwa cha Mutale.

Dakika, 82 Prisons wanafanya mabadiliko.

Dakika, 84 Chasambi anatoka anaingia Mzamiru.

Dakika mbili zimeongezwa kukamilika kwa dakika 90 za mchezo.

Dakika 90 zimekamilika na Simba wanapata alama 3 muhimu sana kwako
 
Baada ya kutoka kuchapika dhidi ya mtani wake leo Simba SC anakibarua kizito mbele ya wanajelajela Tanzania Prisons

Tanzania Prisons VS Simba SC |
NBC Premierleague |
Sokoine Mbeya |
Oktoba 22, 2024
4:00 PM
View attachment 3132174
Hivi wewe ni Timu gani?
Huwa unaanzisha nyuzi na hutoi updates
Na ajabu unaanzisha nyuzi za timu zote.
 
Kaua anachojua yeye ni kujigonga gonga miguuni na kutaka miguu yote ipige mpira..
Na huyo ndio MVP wa ligi ya ivory coast.
 
Back
Top Bottom