Baba mtumishi
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 306
- 266
Hahahaaaa!Mkuu umetisha.wajelajela lazma wafe 4 leo,tunahasira na vyura juzi tumeona tujifunge wenyewe kuliko kufungwa na nyuma mwiko,staili ya mzalendo vitani yaani kuliko kuuawa na adui bora ujimalize