Full Time Tanzania Prisons 0 - 1 Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024

Full Time Tanzania Prisons 0 - 1 Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024

Yaani wewe kipimo cha ubora wa Simba ni kufungwa ama kutofungwa na Yanga[emoji2][emoji2][emoji1]

Hili nalo ni la Mzee Jakaya na Sunday Manara?
Kama timu haina uwezo wakuchukua kombe lolote basi angalau iwape furaha mashabaki wake kwa kuhakikisha ina pata matokeo chanya mbele ya mtani wake.. Rage aliona mbali kuwaiteni mbumbumbu
 
Marejeo ya picha Mbangula alionekana kajiangusha. Refa alikuwa sahihi.
Hapa dube napo alijiangusha au,sheria inasemaje mtu wa mwisho kabla ya kipa anapocheza rafu anastahili adhabu gani?
 
Attachments

  • 20241022_110110.jpg
    20241022_110110.jpg
    91.5 KB · Views: 1
Magori aje Tena amuite Musa mbise mara 3 maana m-pesa imesoma tiyali na wale wazee wao wajitokeze Tena waseme gsm anaharibu ligi🤣🤣
 
Kurudishia Watu wa Simba amani leo Simba ishinde walau sio chini ya bao 3.
 
Magori aje Tena amuite Musa mbise mara 3 maana m-pesa imesoma tiyali na wale wazee wao wajitokeze Tena waseme gsm anaharibu ligi🤣🤣
hapa huwezi wasikia watakwambia timu ime imalika
 
Back
Top Bottom