3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Mchezaji bora ni Che Malone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepost mara 3 kwa machungu mno......🤣🤣🤣🤣🤣🙌Huyu kipa aliyetoa boko kama angekuwa ni Camara Magori sijui angemuita mara ngapi.
Hapa ingekuwa Yanga ungesikia wamenunua, ila kama mnaujua mpira nazani mtakuwa mmekuona kiwango chenu halisi.
Hizi ni hasira baada ya buku yako ya betting kuliwaWazee wa bahasha.. ushindi wa ndondokela, pira papatu papatu
kwani ule wimbo wenu wa pointi 3 muhimu hauimbiki tenaHamna timu hapa
Huku nilipo mtandao ni changamoto, ila ndio najiuliza maana Camara alimwita mara tatu, je huyu wa leo kama angekuwa Camara angemwita mara ngapi?Umepost mara 3 kwa machungu mno......🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Prison wame nyimwa penalty.
yes tumekuwa bora mara kumi zaidi ya msimu uliopita.Huyu kipa aliyetoa boko kama angekuwa ni Camara Magori sijui angemuita mara ngapi.
Hapa ingekuwa Yanga ungesikia wamenunua, ila kama mnaujua mpira nazani mtakuwa mmekuona kiwango chenu halisi.
hizi zote hasira baada ya kuliwa buku lako la dagaa masikini wewe ulijua prison atashinda. Ujinga wako leo umekufanya ulale na njaa.Hamna timu hapa
Pigeni hao wazidi kutoa milio ya simu na press ziwe nyingi waandishi wa habari wapate kazi za kufanya, tujue na wazee wa hovyo ni wapi.
Mpira mchezo wa wazi sana.yes tumekuwa bora mara kumi zaidi ya msimu uliopita.
Kabla ya kutoa shutuma na lawama unge pambana na mtandao kwanza.Huku nilipo mtandao ni changamoto, ila ndio najiuliza maana Camara alimwita mara tatu, je huyu wa leo kama angekuwa Camara angemwita mara ngapi?
Nipo site natafuta hela ,ila hata huku nilipo kuna shida za mtandao ila si satellite issues mechi nimeiona.Kabla ya kutoa shutuma na lawama unge pambana na mtandao kwanza.
Inaonekana changamoto ya mtandao kwenye eneo lako limekufanya ushindwe kuona vyema baadhi ya matukio kwenye hii mechi.
Afu kwa nfinix, itel na Tecno ishu ya mtandao kuyumba hayo ni matatizo common.