Full Time Tanzania Prisons 0 - 1 Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024

Full Time Tanzania Prisons 0 - 1 Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024

Kuna Watu Kushinda ni Kweli Walishinda,Lkn Wakikumbuka jinsi Walivyoshinda wanakuwa Wanyonge hawana furaha...!

Wapo hapa Kazi yao ni Kulalamika tu....! Ama Kweli huu Mwaka UBAYA UBWELA..! Hili gari La Simba ndo Lishawaka hivyo.
 
Huyu kipa aliyetoa boko kama angekuwa ni Camara Magori sijui angemuita mara ngapi.

Hapa ingekuwa Yanga ungesikia wamenunua, ila kama mnaujua mpira nazani mtakuwa mmekuona kiwango chenu halisi.
 
Back
Top Bottom