Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Pigeni hao wazidi kutoa milio ya simu na press ziwe nyingi waandishi wa habari wapate kazi za kufanya, tujue na wazee wa hovyo ni wapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufe tu ili tuoe mkeoSimba ikikaza sana inaweza ika dro.
prison wapiga kwenye mshono kabla kidonda hakijapona. Wazee wasimba leo watasema raisi anahujumu simba ili kuwatoa kwenye reli mbumbumbu fc.
leo hadi mo mkamchezeshe!Mangungu leo avae hata jezi aingie acheze ilimladi Simba tushinde lasivyo baada ya mechi shughuli anayo.
Prisons mkifungwa, mtakuwa mmejitakia wenyewe! Maana jukumu lenu kubwa leo ni kupiga tu pale kwenye mshono.
kanyokoKayokooo
wajelajela lazma wafe 4 leo,tunahasira na vyura juzi tumeona tujifunge wenyewe kuliko kufungwa na nyuma mwiko,staili ya mzalendo vitani yaani kuliko kuuawa na adui bora ujimalizeUshindi pekee kwa Simba leo ni kulazimisha sare.
Huyu ameamua kuwa mwanamichezo siyo shabiki maandazi na ndiyo inavyotakiwaHivi wewe ni Timu gani?
Huwa unaanzisha nyuzi na hutoi updates
Na ajabu unaanzisha nyuzi za timu zote.