Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,545
- 7,624
😹😹😹 Mbona kinyonge uduguuKila La kheri Arsenal.
😹😹😹 Mbona kinyonge uduguuKila La kheri Arsenal.
😹😹😹 Leo mtakufa kwa vinyongo ila kombe linabebwa huku mnaendelea kupiga domo..!!Labda abebe virago
Usilie ahh pole sana, ahhh kula chuma hichoKwanini incident ya Saka haijawa penati?
😅😅😅Usilie ahh pole sana, ahhh kula chuma hicho
Usiamini hivyohivyo ila kumbuka hajafungwa hata mechi kwenye uefaSiamini kama arsenal alie draw na wolves Leo anabeba uefa
Naam, viva arsenal 🔥Niko nacheza game arsenal vs psg, wana fungika hao psg
Pisha mbele kumesha kuwa kubaya huko 🔥Saa tatu mtakua mnaondoka hapo kwenye hilo kusanyiko lenu vichwa chini.
Tuta hukoUsilie ahh pole sana, ahhh kula chuma hicho