Ukweli mchungu huoPSG BINGWA.
Subiri kipigoArsenal tunapotea, 22-78% ball possession sio sisi
Oya wapi nisogeeMuhudumu lete kreti moja sherehe ianze🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🌎
Bado dk 70 mpira uisheSubiri kipigo
Kwa PSG 70 ni nyingiBado dk 70 mpira uishe
Tunazingua🤔Arsenal tunapotea, 22-78% ball possession sio sisi
Licha ya ubovu wa kipa lakini hili goli halikutakiwa kusimama kutokana na hand ball iliyofanyika kabla ya shambulizi.Ha ha ha visingizio vimeanza
hawa jamaa huwa ******* sana kwenye fainali hizi kubwa, ilibidi watuchapie arsenal maana huku mtaani tutakoma tuIv ni hii psg au kuna ingine