Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
57Kwa PSG 70 ni nyingi
57Kwa PSG 70 ni nyingi
Sawapsg anachomoa mda wowote tu inaweza kua penati arsenal anachezewa nusu uwanja
Kwa sasa tunalinda ushindiArsenal wanavyopelekewa mafuta wanatamani hata hilo goli walitapike
Hamtoweza kushikilia bomba second ahalf2nd half tunakuja na tactics nyingine
Unalinda goli, ushindi haulindwiKwa sasa tunalinda ushindi
Hawezi mkuu. Kelele za mk* haziwezi kupasua chemba za choopsg anachomoa mda wowote tu inaweza kua penati arsenal anachezewa nusu uwanja