R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 18,360 Reaction score 26,244 May 31, 2026 #481 Afadhali wamefungwa,sio mpenzi wa arsenal wala psg ila kelele na majigambo ya mashabiki wa arsenal baada ya kuongoza zilinifanya nishabikie psg
Afadhali wamefungwa,sio mpenzi wa arsenal wala psg ila kelele na majigambo ya mashabiki wa arsenal baada ya kuongoza zilinifanya nishabikie psg
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 May 31, 2026 #482 Yagangwe yajayo... Cc: Mahondaw
Palac JF-Expert Member Joined Mar 29, 2025 Posts 3,775 Reaction score 10,094 May 31, 2026 #483 Gunners hamkupashwa kufika huku lakini Attachments Facebook_1780216016944(480p).mp4 1.4 MB
G granitized JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 4,869 Reaction score 11,356 May 31, 2026 #484 cocastic said: Poleeeni sana, wakati ujao ni sahihi. Click to expand... hasira niliyonayo, ungekuwa beside me ningekugeuzageuza kama samaki wa kukaanga.
cocastic said: Poleeeni sana, wakati ujao ni sahihi. Click to expand... hasira niliyonayo, ungekuwa beside me ningekugeuzageuza kama samaki wa kukaanga.
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 20,877 Reaction score 43,633 May 31, 2026 #485 min -me said: 😅😅 pombe imechacha bwashee Click to expand... Huzuni bwasheee 😊 😌😌😌