Full Time UEFA Final: PSG 1 -1 Arsenal - Puskás Arena | May 30, 2026 - Baada ya Penati PSG anaibuka Bingwa (4-3)

Nani kubeba Ubingwa wa UEFA 2026?🏆

  • Total voters
    105
  • Poll closed .
Kazi kazi
 
Attachments

  • FB_IMG_1780172671951.jpg
    FB_IMG_1780172671951.jpg
    114.9 KB · Views: 12
Poleni sana wanetu wa Arsenal kiukweli huu msimu mlistahili kila kombe ila bahati haijawa upande wenu, shukuruni mmechukua epl, lakini bado mna team inayoweza ku complete next season
 
Niko nasikiliza ngoma bora ya mwaka huu, mengine nime achana nayo.
Vumilia Mejiii, mpira ndio uko hivyo,
Nakumbuka sisi City msimu wa 2022 tulitolewa na Madrid semi final 2nd Leg, dkk 7 za mwisho hatima ya City kwenda final inazikwa, tena msumari wa penalt alipiga Benzema.
Nilipiga ukunga ile siku, majirani walistuka sio kwa sauti ilee, na sitosahau ile match kamwee.

Msimu wa 2023 tukasema huu ni wetu, na tukachukua.
Nakuelewa unachopitia.
 
Dah sio poa, ngoja niendelee kusikiliza colorado ya john drille, ayra na Young John.
 
Poleni sana wanetu wa Arsenal kiukweli huu msimu mlistahili kila kombe ila bahati haijawa upande wenu, shukuruni mmechukua epl, lakini bado mna team inayoweza ku complete next season
Hata leo yenyewe wameshindwa kwa makosa machache sana, daaah.
PSG anachukua back to back, hii dharau bhana.
 
Poleni sana wanetu wa Arsenal kiukweli huu msimu mlistahili kila kombe ila bahati haijawa upande wenu, shukuruni mmechukua epl, lakini bado mna team inayoweza ku complete next season
Mkuu msimu ujao Arsenal hatokuwa juu tena ...Ushindi wake ukifuatilia sio wa uhakika sana..Na kuna mechi wamebebwa na makosa ya marefa....Na upande wakona na Fouls watu wameanza kufahamu namna ya kuwa thibiti.

Angalia njia waliyopita kufika Final na pia angalia njia ya PSG..

Mimi upande wangu naona kwa dhati Arsenal hawakustahili kushinda.
 
Back
Top Bottom