Full Time UEFA Final: PSG 1 -1 Arsenal - Puskás Arena | May 30, 2026 - Baada ya Penati PSG anaibuka Bingwa (4-3)

Full Time UEFA Final: PSG 1 -1 Arsenal - Puskás Arena | May 30, 2026 - Baada ya Penati PSG anaibuka Bingwa (4-3)

Nani kubeba Ubingwa wa UEFA 2026?🏆

  • Total voters
    105
  • Poll closed .
Let's go gunner
 
Attachments

  • FB_IMG_1780169947616.jpg
    FB_IMG_1780169947616.jpg
    48 KB · Views: 16
Kuna jamaa kanifurahisha hapa et Arsenal wangepata Kona nyingi zaidi hili game wangeshinda
Namimi nimejiuliza hivi kwanini kona imekuwa kitu muhimu sana kwao?

Unajua kuna mechi hawa jamaa waliwahi kumuandama refa wakimshinikiza awape kona na ile reaction yao ilikuwa ni kama wanadai penati

Kwanini kona ni muhimu kwao? Kibongo mtu anaweza kuuliza au Arsenal ni wachawi nini?
 
Namimi nimejiuliza hivi kwanini kona imekuwa kitu muhimu sana kwao?

Unajua kuna mechi hawa jamaa waliwahi kumuandama efa wakimshinikiza awape kona na ile reaction yao ilikuwa ni kama wanadai penati

Kwanini kona ni muhimu kwao? Kibongo mtu anaweza kuuliza au Arsena ni wachawi nini?
Leo wamekosa kona ata moja arteta alikua anashika pumbu tu
 
Leo wamekosa kona ata moja arteta alikua anashika pumbu tu
Kona wamepata 2 tu nazo ni za Extra

Dakika ya mwisho kwenye extra yakapata ya 3, wakaanza kushangilia refa akaona huu ni ushamba.

Yanaenda kuokota mpira yapige refa akapuliza filimbi kumaliza mechi.

Wacha yamaindi.
 
Nimeona wanalalamika kweli yani arsenal kila jambo lao limekua la bahati. Sana
 
Back
Top Bottom