Full Time UEFA Final: PSG 1 -1 Arsenal - Puskás Arena | May 30, 2026 - Baada ya Penati PSG anaibuka Bingwa (4-3)

Full Time UEFA Final: PSG 1 -1 Arsenal - Puskás Arena | May 30, 2026 - Baada ya Penati PSG anaibuka Bingwa (4-3)

Nani kubeba Ubingwa wa UEFA 2026?🏆


  • Total voters
    105
  • Poll closed .
Aseno mwaka huu tunabeba yuefa
20260523_110623.png
 
Ateta kuna muda anazingua. Kabisa Penalty akapige Gabriel
Tatizo wachezaji wazuri wa penalt wote walishatolewa. Saka, Havertz, Trossard.... Ila hii penalt ya Gabriel ni kiboko. Alitumia nguvu nyingi kuliko akili. Madueke haaminiki. Shuti zake zinawezakwenda popote. Hata Eze, huwa ana tatizo la concentration kwenye kupiga pasi hivyo hata penalt ilikuwa risk sana kumpa.
 
Back
Top Bottom