Teh teh teh 😃 😃 😃 😃
Mkuu nakusalimia🤣🤣🤣Ushadata
Unaishiwa pawa ukiwa wapi Mkuu?Kombe anabeba ASSNAL
Kaka fainali Haina maana tuonyeshe kabati yako ya uefaTeh teh teh 😃 😃 😃 😃
Ubingwa wa EPL na hii fainali ni hatua kubwa mno kwa Arsenal msisahau hilo nyie Man United fans
Unamaanisha You will lose again?🤣🤣No problem...
We will go again..!!
Yoh we don't dwell on pastTeh teh teh 😃 😃 😃 😃
Ubingwa wa EPL na hii fainali ni hatua kubwa mno kwa Arsenal msisahau hilo nyie Man United fans....
We shall go again.!!Unamaanisha You will lose again?🤣🤣
Zipo🤣🤣 bado bia zake zipo Mkuu?😂😂
Tukumbusheni nyie fainali yenu ya mwisho ya Uefa ilikuwa miaka mingapi iliyopita, naamini ni umri wenu...😃😃😃😃
Kaka fainali Haina maana tuonyeshe kabati yako ya uefa
aliye juu mngojee down !Ukimuona tembo juu ya mti ujue kapandishwa 😅
Kumbe saizi sio tena swala la ushindi ishu imekuwa fainali?Tukumbusheni nyie fainali yenu ya mwisho ya Uefa ilikuwa miaka mingapi iliyopita, naamini ni umri wenu...😃😃😃😃