Mkuu, nature na dunia iko biased against blacks whether we like it or not.Umeanza ubaguzi
Nyie waarabu wa Pemba mnajiona binadamu wa thamani mno, wakati Sote tunakufa tu.
Updates gani kwa mpira wa kitoto kama ule.Mbn hamna update zaidi ya vichambo
Mashabiki wa Manchester United wameamua kuchafua Uzi..😃😃Mbn hamna update zaidi ya vichambo
Midomo imewaponza!Hivi serious Gabriel akapige penalty
We mzee wa makwapa uko wapi?Keshokutwa Likianza najua bado upo na Ufaransa 😃😃😃