Keshokutwa Likianza najua bado upo na Ufaransa 😃😃😃Inanikumbusha Qatar kombe la dunia
Umeanza ubaguziIla mtu mweusi hapa duniani anataabika sana.
Nyie waarabu wa Pemba mnajiona binadamu wa thamani mno, wakati Sote tunakufa tu.hivi kocha unaruhusije mtu mweusi apige penalty?
Kaza kaka 😂Dah matuta uwa siwezi kuangalia
Asavalii
Yaani acha tu. Imagine hata penalty wamekosa wao tu so far, alimradi waonekane vituko.Haha ati!?
Hovyo kabisahivi kocha unaruhusije mtu mweusi apige penalty?
Maneno yako yametimiaYaani acha tu. Imagine hata penalty wamekosa wao tu so far, alimradi waonekane vituko.