Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,025
- 2,058
adi liverkuku uku tunashtuka !Penalties
adi liverkuku uku tunashtuka !Penalties
Watakuwa wamezingua kweli aiseeUtashangaa PSG wanazingua kwenye matuta
Tupo..!Humu najua hamna shabiki wa PSG ila kuna maadui wa Arsenal.
Captain odegaard alipohojiwa Jana alisema wamejiandaa kwa penati maana wanaamini mechi itaishia hukoMbona kama watafanikisha, ila penati hazina mwenyewe
Tutakua kimya jamaniTupo..!
Psg wasipochukua kelele zitakua nyingi
Muda wa matuta huuKama nilitaka kumpiga mazeru master wa karate, nije nishindwe hawa psg wa michongo
HatutakiiiTutakua kimya jamani
kila la kher Arsenal 🔥Humu najua hamna shabiki wa PSG ila kuna maadui wa Arsenal.
Yaani tunufaike sisi ambao hatuja ruhusu more than 1 goal kwenye hii michuano.Muda wa matuta huu
Hapa hata mkishinda ntawapa hongera
Ila kwenye one on one na Charles William pale msingeweza hata kwa dawa.
Saizi mnanufaika na ubovu wa kipa ila sijui kama mna wapigaji wazuri.
Ngoja tuone
🕚Yaani tunufaike sisi ambao hatuja ruhusu more than 1 goal kwenye hii michuano.
Sasa yule psg tuliye ambiwa wa goli nyingi yuko wapi 😂
Haha ati!?Ila mtu mweusi hapa duniani anataabika sana.